Google PlusRSS FeedEmail

JAGUAR AZIDI KUMPONDA PREZZO MARA BAADA YA TUNZO ZA BASATA KILIMANJARO MUSIC AWARDS

Msanii muziki Nchini Kenya Jaguar amezidi kumtupia maneno msanii mwenzie Prezzo CBM,Bado hafui daffu kimuziki,kwa maana bado ni mchanga katika fani hiyo..Hayo yote yamekuna mara baada ya msdanii Jaguar kutwaa Tunzo ya wimbo Bora wa muziki wa Africa Mashariki katika Tunzo za Basata Kilimanjaro Music Awards kupitia kibao chake Kigeugeu..wasanii hao kwa pamoja hawaelewani kwa muda sasa na kila mmoja akiendelea kumponda mwenzie.."Jaguar akihojiwa na Easy Fm ya nchini Kenya alisikika akisema"Nawashukuru sana Watanzania kwakua wameona uwezo wangu na kuniweka katika kinyang'anyiri hicho ambacho nilikuwa nikipambana na Nameless na Kidumu wasanii ambao nawaheshimu sana ila Mashabiki wameona uwezo wangu"Gig up na iwe funzo kwa Prenzo kwamba huu ni Moto wa Gesi..

This entry was posted in

One Response so far.

  1. Hey.. Am a Kenyan.ningependa kuwasiliana na PRO-24 DJS. kwa email au simu.nahtaji usaidizi kutoka kwao please

    aroncilla9@hotmail.com

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging