Mara baada ya kuwa na taarifa ambazo zilikuwa zikikanwa na pande zote kuhusu uhusiano kati ya Jokate na msaniii wa muziki wa kizazi kipya Diamond,hatimae msanii huyo amevunja ukimya mara baada ya kuweka bayana kupitia katika ukurasa wake katika huduma inayotolewa kupitia watumiaji wa simu aina ya Blackberry BBM..Kwamba yeye na Jokate ni wapenzi kwa sasa,Tuhuma hizi kwamba Jokate na Diamond ni wapenzi aliziibua mchumba wa kitambo wa mwanamuziki huyo wema sepetu alipokuwa akihojiwa na baadhi ya vyombo vya habari,,,na mara kwa mara alikuwa akisikika akisema "kuna miiss anajifanya mlokole huku anatuma sms za mapezi kwa mchumba wangu"na mara nyingine alikuwa akimtaja wazi wazi...hatimae msanii huyo kavunja ukimya kwa sasa yuko na Jokate...
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.