Google PlusRSS FeedEmail

JAY Z - BEYONCE WAZIDI KUIMARIKA KATIKA NDOA YAO

Rapper Jay Z na Mwanamuziki Beyonce Knowleskwa pamija mwezi huu wako katika furaha kubwa mara baada ya ndoa yao kutimiza miaka minne na wakiwa tayari na mtoto moja..Wanandoa hao ambao kimuziki wana mafanikio makubwa Duniani walimekuwa wakisherekea tangu kutimia kwa miaka minne ya ndoa.Wakiwa katika sherehe hiyo mwanamama Beyonce amezindua Website yake mpya ambayo inajulikana kama beyonce.com..website hiyo ni maalumu kwa ajili ya kupokea maoni mbalimbali kutoka kwa mashabiki kote ulimwenguni..Beyonce na Jay Z kwa pamoja wana mtoto mmoja ambaye anajulikana kama Blue Ivy Carter..Mpaka sasa wanandoa hao wamekuwa ni mfanmo kutokana tangu kufungwa kwa ndoa yao wamekuwa na mafanikio makubwa na hawana skendo..

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging