Google PlusRSS FeedEmail

LADY JD AMSIFIA LAURYN HILL

Judith Wambura aka Jide akiwa amepozi na mwanamuziki Lauryn Hill huko Cape Town Africa ya Kusini alipokuwa katika shughuli zake binafsi za kikazi. Jide kwa sasa yuko jijini ambapo moja ya kazi alizofanya baada ya kurejea ni kuzindua albamu yake ya 5 The Best of Lady Jay Dee. Jide alimsifia mwanamuziki huyo nguli kwa kusema maneno matatu tu ambayo yana maana kuwa “…she is natural, beautifull, and so amazing” Alimalizia Jide kupitia ukurasa  wake wa Facebook.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging