Google PlusRSS FeedEmail

MSANII WA KIZAZI KIPYA AMINI WA THT AFUNGA NDOA KWA SIRI


 Hapa wakitoka kanisani mara baada ya kufungishwa ndoa hiyoo
 Tunawashangilia na ndoa idumu milele na milele.
 Ahsante amini wadau wamekuona nao wanakupa hi! tusalimie shem!
Msanii wa Muziki wa kizazi kipya, kutoka THT Amini, hatimaye ameamua kuachana na ukapela kwa kuvuta jiko kimya kimya. Harusi hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Azania Front jijini Dar es Salaam. Picha zinawaonyesha maharusi wakitoka kanisani kwa nderemo na vifijo.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging