Msanii wa kundi la Tip Top Connection anayejulikana kama Rais wa Manzese, Madee amesema kuwa bali na kuwa msanii wa Hip Hop, yeye ni mpenzi wa filamu za kibongo. Msanii huyu kupitia mahojiano maalum na PRO24 amezungumzia amesema kuwa nafasi za uhusika ambazo anapenda kuigiza ni zile za watu katili ambao hawakubaliki katika jamii. Pamoja na yote hayo Madee mesema kuwa anazimikia sana mademu wa filamu za kibongo na kuweka wazi kuwa kati ya wote waliopo katika fani hiyo, mwanadada mrembo Jaqueline Wolper ndiye anyemkosha zaidi Madee hakuacha pia kuwakumbusha mashabiki wake kuwa anatarajia kufanya bonge la sherehe kwa ajili ya kusheherekea siku yake ya kuzaliwa siku ya jumatatu tarehe 23 April mwaka huu....
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.