Kesi ya kuhusika na mauaji ya Steven Charles Kanumba inayomkabili Elizabeth Michael “Lulu” inaendelea kusikilizwa hv sasa katika mahakama ya Kisutu Jijini Dar es salaam...kesi hiyo imeshatajwa mara moja na upande wa mashitaka kudai kuendelea na uchunguzi na hivyo mtuhumiwa Lulu kuendelea kusota rumande.nini kitajiri endelea kufuatilia www.pro-24.net kwa muendelezo wa kesi hiyoo,,
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.