Licha ya kuwa na umri mkubwa malkia wa muziki wa Pop Duniani Madonna ameendeleza kutesa na mavazi ya ujana ,baada ya juzi kuwachengua watu alipovaa kivazi cha ajabu mjini New York,Marekani .Madonna ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 53,alivaa nguo ambayo ulikuwa ikionyesha nguo yake ya ndani kitu ambacho kilishangaza watu kwa maana katika tukio hilo alikuwa na binti yake anayejulikana kama Lourdes.Nguli huyo mwenye vituko aliteka hisia za watu..Mwimbaji huyo alisema ana furaha kuvaa mavazi ya aina hiyo kwa madai kuwa yuko hutu.Madonna alijitokeza katika tukio la kuitangaza Pafyumu yake mpya aina ya Truth Or Dare..
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.