Mwanamuziki Beyonce Knowles amemuandikia barua ya wazi mke wa Rais wa Marekani,Michelle Obama akimpongeza kwa ujasiri..Beyonce ambaye ni mama wa mtoto mmoja na ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 30,aliweka ujumbe kupitia mtandao akimtaja Michelle ni Mwanamke mweusi wa kupigiwa mfano Nchini Humo"Najivunia kuzaa mtoto wa kike katika Ardhi hii yenye mwanamke mweusi Jasiri kama kuitunza familia yako na upendo wako kwa familia,"Nyota huyo alikuwepo katika Hafla ya uchangiaji Fedha na Michelle alisema anampenda mwanamuziki Beyonce..Mume wa Beyonce Jay-Z ambaye ni mwimbaji maarufu Duniani kwa pamoja wanamuunga mkono Obama
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.