Google PlusRSS FeedEmail

MATUKIO KATIKA PICHA WAKATI WATANZANIA WAKITOA HESHMA ZA MWISHO KWA MWILI WA MAREHEMU STEVEN KANUMBA



Hii ndio sehemu ambayo mwili wa marehemu Kanumba unatarajiwa kuwekwa




Hawa watoto wanaopita ndio watoto waliokuwa wakicheza movie na marehemu Kanumba enzi ya uhai wake

Mama yake Kanumba aliyenyoosha mkono juu kuwapungia watu waliokuja uwanjani







Huyu dada hapa mbele alikuwa akilia kwa uchungu sana hadi nilikuwa namuonea huruma

Hemed na Yusuph Mlela wakiingia


                 





Makamu wa rais Dk. Mohamed Ghalib Bilali



Mke wa rais Mama Salma Kikwete






Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi akitoa heshima zake za mwisho kwenye mwili wa marehem.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging