Google PlusRSS FeedEmail

ROMA AKONGA MASHABIKI WAKE NDANI YA DAR LIVE

                          
Katika tukio la kushangaza sana kati ya mpambano wa wasanii wawiki kati Roma Mkatoliki na Izzo B,imelezwa waandaaji hawakutaja nani mshindi katika tamasha ilo,ila inasadikika Roma alifanya vyema kwenye stage kiasi kwamba mda mwingi alikuwa akishangiliwa na Mashabiki waliokuwa wamefurika katika Viwanja hivyo vya Dar Live ambavyo viko Mbagala Zakhem.mara baada ya pro-24 kutaka kupata maoni ya wasanii wenyewe Izzo B alisikika akisema "yeye alikuwa mwenyewe ila Roma alikuwa na akisaidiwa na Darasa msanii wa Hip Hop ambaye kwa sasa anatamba na wimbo wake SIKATI TAMAA"Izzo Ameongeza kuwa Dj Choka alikuwa akimsadia vyema Roma kitu ambacho yeye hajakikubali kwa maana alifikiri mpambano ni wake na Roma ila kulikuwa na zaidi ya watu watatu waliokuwa wakishindana nae..Ila alishukuru kwa kusema show imemlipa kwa maana  amelipwa sh million 4,ambazo ameshukuru kwa sababu ameingiza kipato kutokana na mpambano huo...Kwa upande wa Roma yeye hakuwa na mengi ila alichosema "muulize yeyete aliyekuwa ukumbini atakupa majibu mimi sina la kusema"alimaliza Roma..

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging