Jennifer Hudson amekua kivutio kwa wale wanaokabiliana na tatizo la uzito. Hivi karibuni mwana dada huyu mwenye umri wa miaka 30 ameoneka na mwili wa kimodo kwa kupoteza 40kg... du noma kabaki kichwa tu!!
Weight Watchers inspiration: Jennifer Hudson