Google PlusRSS FeedEmail

BEYONCE ATAMANI WATOTO ZAIDI

Mara baada ya kufanikiwa kupata  mtoto wake wa kwanza Mwanamuziki Beyonce mwanzoni mwa wiki akiwa huko New York kwenye  GLAMOROUS MET GALA akiwa anapita kwenye red carpet huku akiwa nafanya mahojiano na waandishi wa habari,alisikika akimzungumzia mtoto wake wa kwanza  Blue Ivy Carter ambaye kwa sasa ana umri wa mienzi 4 mwanamama huyo alisikika akisema  anataka kuongeza mtoto mwingine kwenye familia lakini huenda isitokee siku za karibuni “Hata hivyo nataka watoto zaidi, sijui wangapi lakini Mungu ndio anajua” Alisema Beyonce. 

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging