Google PlusRSS FeedEmail

BRAND BADO NAMPENDA MKE WANGU

Russell Brand amebainisha kwamba bado anahisia za mapenzi kwa mke wake waliyeachana Katy Perry akisisitiza kwamba anampenda kiukweli. Brand alimtaliki Perry mwisho mwa mwaka jana, lakini alikataa kuweka wazi sababu za wao kuachana baada ya ndoa yao kudumu kwa kipindi kifupi “Nampenda yeye kama binadamu haimaanishi kwamba najutia kuachana kwetu na nilikuwa na furaha kubwa katika ndoa yetu , na ni mwanamke mzuri na kiukweli bado nampenda ingawa hatuwezi kurudiana tena” alisema

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging