Nyota wa muziki wa Pop wa Australia, Dannii Minogue ameweka wazi kwamba hataraji kurudi stejini hivi karibuni kwa sababu anaendelea kulea mtoto.Muimbaji huyo alijifungua mtoto wa kwanza ambaye ni wa kiume, mwaka 2010 akimpa jina la Ethan, na tangu hapo hajaonekana tena stejini.
Amesema kwa sasa hafikirii kuingia studio kwa sababu bado anaendelea kulea na anataka mtoto wake apate matunzo mazuri kutoka kwake. “Muziki unakufanya usafiri sehemu mbalimbali, hivyo hauwezi kuwa karibu na mtoto cha muhimu zaidi kwangu hivi sasa ni kuwa na mwanangu”, alisema Minogue ambaye albamu yake ya mwisho aliitoa mwaka 2007.PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.