Google PlusRSS FeedEmail

GAGA NDANI YA UFILIPINO

Pamoja na kuzuiwa kufanya tamasha nchini Ufilipino, nyota wa muziki wa pop, Lady Gaga amewasili katika jiji la Manila ili kukutana na washabiki wake pamoja na jumuia za waumini wa dini ya kikristo ambao walisitishtamasha hilo .Zaidi ya waumini 200 wa dini ya kikristo waliandamana katika jiji la manila kwa siku mbili wakiwa na mabango yaliyoandikwa “Heshimu imani yetu, sitisha maonyesho yako”. Kibao cha wimbo wa Judas ambacho amekitoa Lady Gaga kinachukuliwa kama sehemu ya dhihaka kwa Nabii Yesu. Gaga amabaye hivi sasa anazunguka kwe nye Bara la Asia akiwa kwenye ziara inayofahamika kwa jina la “Born This Way”.
Nyota huyo pia alikumbana na pingamizi Korea Kusini na Indonesia ambapo jumuia za waumini wa dini ya Kiislamu walimuwekea vikwazo kutokana na aina ya mashahiri yake. Nchini Ufilipino sheria zinasema kuwea mtu yoyote anayekashfu dini za watu adhabu yake ni kifungo cha miaka sita...

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging