Mwimbaji Justin Bieber ameumbuka vibaya baada ya meseji zake
za mapenzi alizokuwa akimtumia mpenzi wake Serena Gomez, mwanzoni wawili hao
hawakutaka kuweka uhusiano wao wa kimapenzi hadharani lakini hivi sasa kila
kitu kipo wazi.Gareth Crosskey , Mwingereza ambaye anasifika kwa kuingia
kwenye mitandao ya watu ya facebook ameziweka hadharani mesejiza mapenzi za
wasanii hao.Crosskey, (21), amekamatwa na makachero wa FBI kwa ajili ya
uchunguzi zaidi na jeshi la polisi....
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








