Wanamuziki Jay-Z na Will Smith wameunga mkono tamko la Rais Barack Obama kukubali ndoa za jinsia moja Nchini Marekani, tamko ambalo lilipokelewa kwa hisia tofauti nchini na kwengine kote Duniani.Will Smith alisifia tamko la Obama kuwa ni la kijasiri katika mwaka wa uchaguzi nchini Marekani, na aliendelea kusema kwamba ni jambo la kuunga mkono mtu yoyote akipata mwenzake wa kuwapenda na kuwasaidiana katika maisha.Kwa upande wake Jay - Z alisema anaamini kuwa wapenzi wa jinsia moja wanapaswa kuwa na haki ya kuoana, na kwamba kinachofanyika majumbani mwao si suala lao wenyewe.
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.