Google PlusRSS FeedEmail

KUMBE AY NI MMILIKI WA KIPINDI CHA MKASI

MSANII nguli wa muziki wa kizazi kipya AY mbali ya kufanya muziki pia ni mmiliki halali wa kipindi cha Mkasi kinachorushwa na kituo cha televisheni cha EATV .Ay alisema kuwa kwa sasa anajiendeleza kwa kusoma shahada ya biashara ili aweze kujiendeleza na kujiongoza vyema katika kazi zake za muziki na biashara kwa ujumla Ay alisema kuwa hajawaacha mashabiki wake kwani yuko karibu nao"nasaidia yatima na ombaomba barabarani ingawa sipendi kujitangaza kwa kufanya hivyo". liongezea kuwa viongozi wa vyama vya wasanii pamoja na wadau wanatakiwa kujadili mambo ya msingi ili kukomboa muziki na kulinda haki ya msanii kwenye kazi yake .Pamoja na hayo Ay alielezea mikakati yake ya kufanya ziara ya kimuziki mikoani kwa ajili ya kuzindua na kutambulisha albamu yake ya nne .Katika upande wa mahusiano alisema kuwa kwa sasa bado hayuko teyari kufunga ndoa na msichana yoyote yule kwani ndoa ni kujipanga na si kukurupuka. alisisitiza kuwa "siwezi kufunga ndoa kwa sababu rafiki yangu amefunga ni lazima nijipange kwanza ili nifikie malengo yangu..










This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging