![]() |
Kumbukumbu ya viatu alivyokuwa akivaa hayati Bob Marley ambavyo vipo katika jumba la makumbusho nchini Jamaica |
![]() |
Shamba la mimea ya asili alilokuwa akimiliki hayati Bob Marley alitumia mimea hiyo kama dawa na wakati mwingine hutumia kama kinywaji cha aina ya chai. |
![]() |
Nyumba aliyokuwa anaishi Hayati Bob Marley pamoja na familia yake nyumba hiyo ilijengwa kwa kutumia vitu vya asili vikiwemo makuti na miti kama inavyo onekana . |