Google PlusRSS FeedEmail

MISS CHANG'OMBE YAJAA

Mashindano ya kuwania taji la Redds Miss Tanzania 2012 yanazidi kupamba moto kwa ngazi za vitongoji nchini kote huku vitongoji kadhaa vikiwa tayari vimesha fanya mashindano yake na vingine vikiendelea na maandalizi.Wakati mashindano mengine yakiendelea katika vitongoji ,wanaoshiriki kuania taji la Rwdds  Miss Chang'ombe 2012 wapo katika mazoezi teyari kwa fainali zao zitakazo fanyika mapema mwezi ujao
Katika Picha ni warembo wa Chang'ombe wakiwa katika picha ya pamoja  katika ukumbi wa TCC Chan'gombe jijini Dar es Salaam. Warembo hao 11 wanataraji kupanda jukwaani mapema mwezi ujao kuwania taji hilo na kuwania tiketi ya kushiriki Miss Temeke 2012.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging