Google PlusRSS FeedEmail

KIM KARDASHIAN,PARIS HILTON WAMALIZA UTATA

WASANII waliokua marafiki Kabla ya kuja kuwa maadui Kim Kardashiam na Paris Hilton wameonekana kumaliza bifu lao na kuweza kuzungumza tena .Kwa mujibu wa Daily Mail, kiasi cha mwezi mmoja uliopita wawili hao wawakipeana migongo, au mmoja akimwona mwenzake kwa mbele alikua tayari kutomtazama kubadili uelekeo.
Lakini hatimaye Kim Kardashian, amemaliza bifu na mbaya wake ambaye alikua shoga yake hapo zamani Paris Hilton, baada ya kusalimiana kwa mitindo wa kusomana mioyo (kukumbatiana) wakati wa tamasha la filamu la Kimataifa Cannes, Ufaransa. Wawili hao ambao kila ana miaka 31 wamekua marafikitena, baada ya kuwa na mazungumzo marefu ya faragha na kuamua kuweka pembeni tofauti zao. Kitendo hicho ambacho kingeweza kufanya machozi kuingia katika glasi kilitokea Alhamisi, walipokutana katika sherehe za amfAR kwenye hoteli ya Hotel do cap Eden-Roe iliyopo Anntibes. Kwa mujibu wa New York Post, mashuhuda walishikwa na butwaa kuwaonja wawili hao wakifurahi pamoja kwa kuchekeana wlipokutana. Shuhuda alisema kuwa wawili hao walikumbatiana na kuchekeana, kabla ya kuanza kuzungumza kwa muda.
Alisema kua tofauti za wawili mwisho wake zimekwisha Shuhuda huyo alisema: “Kwa kweli hawana tatizo kwa kila mmoja kama ilivyokua muda mrefu”.Ni maisha ya kawaida kibinadamu , Paris anatakiwa kushukuru dunia kwa Kim kupanda na kuwa maarufu. Alikua hajulikani wakati mhudumu wa hoteli alipomtambulisha na kuwa maarufu. Ingawa baada alikuja kukana jambo hilo kutokana na kufunikwa na Kim baada ya mkanda mbaya wa ngono ya Vivid ikinunua haki za video hiyo kwa dola milioni 1. Ilikuwa ni wakati kama huo wa maonyesho ya Paris, ambapo filamu kama hiyo ilivujishwa mwaka 2003 na kwa muda mfupi kuwa mmoja wa watu maarufu waliochukiwa

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging