MNAPONUNIANA Posted on by Zourha Malisa Wawili hawa wamenuniana ni wana ndoa baadhi ya watu wanafikili kuwa hata mkikoseana kwenye ndoa ugomvi unamalizwa na vitu vikubwa viwili mazungumzo na kufanya tendo la ndoa sasa hawa wamenuniana hata tendo hilo kwa hatua hii itafanyika????????