Google PlusRSS FeedEmail

MR NICE APATA DILLI UBALOZI WA MEXICO NCHINI

Mara baada ya kuachia wimbi wake wa Tabia Gani Mwanamuziki ', Lucas Mkenda "Mr Nice" mambo yanazidi kumnyookea muasisi huyo wa style ya Takeu.Wengi walikuwa wanaamini kuwa baada ya kukaa kimya kwa zaidi ya miaka mitano mwanamuziki huyo asingeweza kurudi tena.Na sasa akiwa tayari na albam yake mpya iitwayo Tabia Gani, Mr Nice amepewa ahadi nono na ubalozi wa Mexico nchini Tanzania kupromote albam yake. Hiyo ni baada ya kuyarudia mashairi ya wimbo uitwao El Rey ulioimba na msanii wa Mexico Jose Alfredo Jimenez.Tafsiri ya mashairi ya wimbo huyo wenye maana ya mfalme yametafsiriwa na Dr Jose Arturo Saavedra Casco mhadhiri na mtafiti wa utamaduni wa Afrika na lugha ya Kiswahili katika kituo cha masomo ya bara la Asia na Afrika El colegio de Mexico ..Katika wimbo huo Mr Nice anasikika akiimba style ya Ranchera maarufu nchini Mexico.Wiki iliyopita msanii huyo aliutambulisha wimbo huo kwenye ubalozi wa Mexico nchini...

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging