Mwimbaji wa Bongo Fleva, Diamond Platnum amesema kwamba hapendezewi na skendo ingawa zinakuja kila wakati kwani si kitu kizuri kwa jamii yetu. Kauli hiyo aliitoa alipokuwa anaongea na mwandishi wa blog hii alisema kuwa skendo zinauwa sanaa ya muziki na msanii kiujumla “kwani mashabiki nao pia wanakereka na skendo za kila siku ingawa wanao andika wanafanya biashara bila ya kujali kuwa wanaharibu kazi zetu” alisema Aliongezea kuwa skendo zinaharibu soko la muziki wa kitanzania kwani hakuna mwanamuziki anayekuwa kimuziki kwa kupitia skendo hivyo wanaharibu maisha ya wasanii .Pamoja na hayo aliongezea kuwa anajiandaa kutoa video hivi karibuni ya nyimbo yake inayoitwa ‘Nimpende nani’pamoja na ‘Lala salama’
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








