Google PlusRSS FeedEmail

MZEE SMALL ALAZWA KATIKA HOSPITAL YA AMANA

Muigizaji wa filamu  na vichekesho nchini,Mzee Small amejikuta akifikishwa katika Hospital Kuu ya Wilaya ya Ilala Jijini Dar es salaam leo asubuhi mara baada ya kupata Ugonjwa wa kupooza,Kwa Mujibu wa Chanzo kinasema mzee huyo alipata madhara asubuhi akiwa nyumbani kwake ,na kukimbizwa katika hospitali hiyo ya Ilala,Pro-24 inaendelea kufuatilia hali ya muigizaji huyu maarufu hapa nchini..

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging