Mwanamuziki William Ray Norwood Jr ‘Ray J’, amelazwa katika hospitali moja nchini Marekani, kutokana na kuugua gafla akiwa hotelini. Msanii huyo amekumbwa na ugonjwa huo ambao mpaka sasa bado amelazwa na hajulikani atatoka lini baada ya kutoka kugombana na familia ya Whitney Houston wakati wa utoaji wa tuzo.Mmoja wa wahudumi wa hoteli hiyo ndio aligundua kuwa msanii huyu anaumwa kutokana na kutoamka asubuhi kama ilivyo kawaida yake. Kwa mujibu wa taarifa za awali zinasema Ray J anasumbuliwa na uchofu pamoja na kupungukiwa na maji mwilini
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








