KITU KIPYA CHA ORANGE Posted on by Zourha Malisa Tumezoea rangi nyekundu pekee kutumia mdomoni lakini kwa sasa rangi ya Orange nayo ni rangi ya mdomoni inatumika kuongeza nakishi na urembo zaidi kwa mwanamke