Google PlusRSS FeedEmail

RAY J RELEASED FROM HOSPITAL

Mara Baada ya kulazwa katika hospitali moja kutokana na uchovu mwanamuziki wa , R & B Ray J ameruhusiwa kutoka na kwenda kwao huko Los Angeles...Kwa mujibu wa E! News, Msanii huyo alipata uchovu kutokana na safari ndefu aliyomchukua zaidi ya saa 32kutoka China na zaidi ya saa 4 akuzitumia kwa usafiri wa Gari..ambapo alikwenda huko Las Vegas ambapo alihudhuria Tunzo za Billboard,ina semekana alikuwa na tamasha zito ambalo liliambatana na shughuli nyingine za kibiashara Nchini China,kazi ambazo zinasadikika lilisababisha hali hiyo His rep also said that the "One Wish" singer's system was clean "following an extensive battery of tests to make sure that he did not have a blood clot in his lungs which is potentially a deadly condition that can occur following a long-haul plane flight." Heavy D suffered from the same condition before his death.

We wish Ray J a speedy recovery!

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging