| Queen Darling nae alishambulia jukwaa vilivyo na kuleta raha kwa mashabiki wakati wa show maalum ya Washindi wa Kili Music Award kwenye uwanja Umoja wa mjini Mtwara |
| Msanii anae kuja juu Omy Dimpoz nae akikamua jukwaani wakati wa show maalum ya Washindi wa Kili Music Award kwenye uwanja Umoja wa mjini Mtwara . |
| Barnaba Boy ambaye ni mshindi wa Tuzo ya Mwimbaji Bora wa Kiume akimbo jukwaani hii leo wakati wa show maalum ya Washindi wa Kili Music Award kwenye uwanja Umoja wa mjini Mtwara |
| Msanii AT kutoka Zanzibar akitumbuiza jukwaani na wacheza sho wake wakati wa show maalum ya Washindi wa Kili Music Award kwenye uwanja Umoja wa mjini Mtwara |







