Google PlusRSS FeedEmail

WASANII WAKONGO WAZIDI KUZUNGUMZIA UTATA WA KOFFI OLOMIDE

                 
Ni Kitambo sasa tangua suala la uraia wa Mwanamuziki Koffi Olomide lianze, mengi yamesemwa kwenye mitandao ya kijamii huku watu wengine wakisema Koffi ni Mcongoman ambaye mmoja wa wazazi wake ndiye Mcongo na Wengine wakisema kuwa yeye Afrika ya Magharibi na wengine wakisema Koffi ni Mcongo kabisa.
Wasikie wenyewe wanavyomchambua Koffi ikiwa ni pamoja na kumtaka aonyeshe birth certificate za mamake na babake kama kweli yeye ni mcongo, sio kuonyesha ana uraia wa nchi mbili tu pamoja na mengine, japo hii ilikua zamani kidogo 2001 lakini mpaka leo kumekua na mtazamo tofauti na hasi dhidi ya ukongoman wa koffi olomide, wazawa wa congo wenyewe wamekua wakidai koffi sio mkongo mwenzao bali ni mtoto wa mhamiaji kutoka west africa Benin ikitajwa ndio nchi ya asili ya koffi olomide, mfano kuanzia dk 7:20 utamuona na kumsikia Jb mpiana akiwataja wacongo waliowahi kupiga kwenye kumbi kubwa za ufaransa kama Zenith, Olympia na Bercy akiwataja kina Abeti masikini, Tabu ley, Papa wemba na wengine lakini akiliruka jina la koffi makusudi na mwandishi anapomuuliza mbona humtaji koffi Jb nae anamuuliza mwandishi “kwani koffi nae ni mcongo? mimi nataja wacongoman waliowahi kupiga kwenye hizo kumbi kubwa, lakini wapo wengi Africa waliowahi kupiga kwenye hizo kumbi, kuna wa Benin, kuna kina Yousson N’dour na wengine wengi lakini wacongo ni hao niliokutajia…

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging