Google PlusRSS FeedEmail

William Balfour In Jennifer Hudson Family Murder Trial Found Guilty

Hatimae William Balfour  aliyekuwa akishitakiwa kwa mauaji ya mama na kaka wa Jennifer Hudson amekutwa na hatia ya kosa hilo.Maamuzi yametolewa na mahakama ya Jiji la  Chicago.. kwa mujibu wa TMZ. Baada ya siku mbili ya kufuatilia case hiyo, William Balfour alifunguliwa case hiyo mwaka 2008 kwa kuua watu wawili.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging