Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Isihaka Nassoro 'Dogo Aslay'kuzindua albamu ya kwanza Juni 24, mwaka huu katika ukumbi wa Dar live MbagaraAkizungumza jijini Dar es Salaam Meneja wa kundi la TMK Wanaume Family Said Fella alisema kuwa Dogo Aslay anatarajia kuzindua albamu hiyo kitabu pamoja na filamu ambazo zote amezipa jina la Naenda Kusema. Alisema albamu hiyo inajumla ya nyimbo 10, ambayo ameirekodi katika studio ya Poteza Records chini ya mtayarishaji Sure pamoja na Alow Nem Fella alisema katika uzinduzi huo kutakuwa na burudani kutoka kwa wasanii mbalimbali wa muziki wa kizazi kipya ambao watamsindikiza Aslay. "Tumeandaa onesho maalum kwa ajili ya Aslay kutambulisha albamu kitabu pamoja na filamu ambapo pia kutakuwa na burudani ya aina yake kutoka kwa wasanii mbalimbali" alisema...
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.