Google PlusRSS FeedEmail

BRAXTON KUTENGENEZA FILAMU


Mshindi wa tuzo za Grammy Toni Braxton amesaini mkataba wa kutengeneza filamu ya maisha yake halisi akishirikiana na motto wake wa kiume Diezel.

Mwanamuziki huyo alisema kuwa filamu hiyo itakuwa ikizungumzia maisha yake halisi pamoja na ya kijana wake Diezel. Braxton kwa sasa anatamba na singo yake iitwayo ‘IHeart You’ ambayo inashika namba moja katika chati kubwa za muziki duniani

“Siwezi kusema mengi ninachoweza kusema ni kwamba hiyo filamu itakuwa nzuri kwa kuwa nimejiandaa kikamilifu kuonyesha kile nilichopanga kuonyesha “ alisema

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging