Mama mzazi wa aliyekuwa malkia wa muziki wa Pop Duniani, Whitney Huston , Cissy Houston atakuwa ni miongoni wa wageni maalumu watakaohudhutia sherehe za utoaji wa tuzo wa BET, utakaofanyika Julai mosi. Katika utoaji wa tuzo hizo kutakuwa na wasanii maarufu ambao watatumbuiza miongoni mwao ni Chris Brown, Usher Raymond, 2 Chainz, Nicki Minaj na Big Sean ambapo kila moja atapanda jukwaani kwa wakati wake. Mshereshaji katika tuzo hizo atakuwa ni Samuel Jakson na waliopendekezwa kuwanii tuzo hizo ni pamoja na Kanye West, Beyonce na Chris Brown katika sherehe hizo pamoja na mambo mengine kutakuwa na tukio maalum la kumuenzi mwanamuziki Whitney Huston ambaye alifariki Februari11, mwaka huu
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








