Wavamizi wa mtandao walivamia ukurasa wa mtandao wa kijamii wa Chris Brown na kumtishia mwanamuziki Cher. Mashabiki wa Cher waliamini kwamba ametishiwa na Brown,baada ya kutoa mtazamo wake kwa rais wa Marekani Barack Obama , waliandika"wewe mwanamke ni vizuri ukafunga domo lako la sivyo nitakushushia kichapo"Baada ya Brown kugundua hilo alilazimika kuandika kwenye ukurasa wake wa Twitter. com , "kama kweli wewe ni Cher, basi mashabiki wako na wangu wanatugombanisha , sihusiki na chochote kilichoandikwa juu yako".Hata hivyo Cher alionekana kuelewa na kumalizana na Brown
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.