Google PlusRSS FeedEmail

SAFARI YA RIHANNA YAFUTWA

Muimbaji wa muziki wa pop, Rihanna amefuta safari yake ya kwenda jijini London nchini England, kwa ajili ya kufanya tamasha la muziki .Muimbaji huyo wa songi la 'We Found Love'alitakiwa kusafiri Jumatano ya wiki ya wiki hii, lakini wawakilishi wake walisema safari hiyo imehairishwa kutokana na Rihanna kuwa mgonjwa Hata hivyo , Rihanna anatakiwa kuwa nchini England kwa wiki 10 kwa ajili ya kupiga picha za kipindi chake kipya cha kutafuta vipaji na wabunifu wa mitindo .Pia amepanga kufanya onesho katika tamasha kubwa la O2 Wireless Festival, litakalofanyika Julai mwaka huu....

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging