Drake na Chris Brown wameleteana timbwili ndani ya Wip Club New York jana usiku. Gazeti The Sun limeripoti kuwa Brown alimtuma muhudumu ampeleke chupa ya champagne kwenye meza ya Drizzy kama ku make peace na Drake baada ya kurushiana maneno kupitia Tweeter siku kadhaa zilizopita, lakini kwa Drake haikuwa peace, jamaa alimrudishia ile chupa na ki karatasi kikiwa kimeandikwa.maneno makali na ya kuudhi "nina mmega demu unaempenda katika maisha yako (Rihanna), deal with it"hapo ndipo mambo yakaanza kuharibika na Brown akamfata Drake kumuuliza jamaa niaje nivipi, drake akamrushia ngumi na mmoja wa kundi alilokuanalo kumrushia chupa Brown, ambapo ameumia kidevuni. Brown alienda kutibiwa katika hospitali iliyokuwa karibu na eneo hilo
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.