Google PlusRSS FeedEmail

DOGO ASLAY KUZINDUA NAKUSEMEA, JUMAPILI HII

Jumapili hii ndani ya ukumbi wa DarLive ni usiku wa kijana mdogo kabisa kutoka katika kundi la Mkubwa na wanawe, Dogo Aslay ambaye anatarajia kuzindua albam yake ya kwanza inayoitwa Nakusemea.
Said Fella a.k.a Mkubwa fella amesema kwamba timu nzima ya Wanaume Family na ile ya mkubwa na wanawe itakuwepo kutoa burudani kwa mashabiki wa muzikii wa kizazi kipya watakaofanikiwa kufika ukumbini hapo kutoka kila kona ya dunia.Nakusemea, ina jumla ya nyimbo kumi na itakuwa ikipatikana madukani kote

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging