Google PlusRSS FeedEmail

KUTOKA KWA SOGGY THE ENTERTAINER

Ni hivi,mwezi ujao wote Soggy Doggy, Bwana Misosi na D.Knob tunafanya Hip-hop Tour Kanda ya ziwa,Ruvuma na Arusha lengo kubwa likiwa ni kutoa burudani kwa mashabiki wetu ambao huwa wanatuona mara chache sana kwani tunabanwa na majukumu mengine,katika ziara hizi tunaambatana na madansa wetu na tumedhaminiwa na PRO-24
D Knob
  Misosi...

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging