Akiwa amevaa gauni refu jeusi, msanii mwenye jina kubwa, Kelly Rowland aliokenaka akijipa raha mwenyewe katika fukwe moja ya hapa.Mwimbaji huyo wa zamani wa kundi la 'Destiny's Child' alionekana akiwa katika mtoko huo alioufanya mapema wiki hii.
Kelly ambaye kwa sasa ana miaka 31, aliamua kujipa raha baada ya kumaliza kupiga picha za video za wimbo wake mpya, anaoufanya ndani ya jiji hilo. Mara nyingi alionekana akichezea simu, kabla ya kuvua gauni lake na kubaki na bikini na kujirusha kwenye maji.
Katika mtoko huo alikuwa peke yake, hivyo kuwapa kazi kubwa paparazzi, waliokuwa wakimfuatilia wakitaka kujua nani anayetoka naye.Mpaka dakika za mwisho, Kelly aliamua kuondoka katika eneo hilo akiwa peke yake.
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.