WAKAZI WA IRINGA KAENI MKAO WA KULA KHANGA MOKO HAOOO
Posted on by Zourha Malisa
Baada ya maombi ya wakazi wengi wa Iringa...PRO 24 DJ'S inaweleta kwenu tena Khanga moko laki si pesa labda milioni kidoogo...ndani ya CLUB V.I.P Ijumaa hii...ni wale wale waliopagawisha watu...bila ya kusahau show ya kuwamwagia maji na disco karee chini ya usimamizi wa PRO 24 DJ'S...Tarehe 15 june...msikoseee!!!
vp mzee hauna video za hao kanga moko?