Google PlusRSS FeedEmail

MH TEMBA NA BI CHEKA KUTOKA NA MARIOO

Mh Temba teyari ameachia ngoma zake mbili ambazo ni ‘Marioo’ na ‘Mazoea’. Akizungumzia juu ya ujio wa ngoma zake hizo ambapo anaamini kuwa mashabiki wake wataamua ni ngoma ipi ambayo video yake iwe ya kwanza baada ya kuzisikiliza Alidai kuwa wimbo wa ‘Marioo’ ambao amemshilikisha Bi. Cheka, kwani anaamini uwepo wake utaongeza chachu Fulani na kuvuta mashabiki wake waweze kuukubali zaidi huku ule wa Mazoea akiwa amemshirikisha ‘DY’ “Video za ngoma zangu zipo tayari yaani kikubwa nachokitaka mashabiki wangu waweze kunieleza ni ipi ianze kutoka naamini zote zipo poa sana, “alisema


Hata hivyo Temba aliongeza kuwa June 28, mwaka huu watakuwa katika utambulisho maalum wa Bi Cheka’, katika mikoa ya kanda ya Ziwa ambayo ni Mwanza, Shinyanga na Tabora ‘Tunahitaji kumtambulisha Bi. Cheka, hivyo tunapenda kufanya ziara maalum ili mashabiki wake waweze kuwa naye karibu zaidi kwani anahitaji kuwa kama wasanii wengine “ alisema...

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging