Google PlusRSS FeedEmail

JOKETI ATOA MILIONI MBILI ZA CHAKULA NA VINYWAJI

Joketi Mwengelo amefanya kufuru kwa kutoa shilingi milioni mbili kwa ajili ya chakula na vinyaji kwenye sherehe ya kuzaliwa kwa Christine John ‘Sintah’. Sherehe hiyo ilifanyika kwenye hoteli ya Sea Cliff Dar es Salaam wiki iliyopita huku ikihudhuliwa na mastaa wachache wa bongo muvi kwa kile kinachodaiwa kuwa wengi wanatabia mbaya hivyo walishindwa kualikwa“Baadhi ya nyota waliokuwepo siku hiyo ni Jackline Wolper ambaye alitoa dola 800 kiama zawadi , Steve Nyerere ambaye alitoa dola 500, Diamond ambaye alitoa mkufu . Chombo kimoja cha habari kimeripoti kuwa sherehe hiyo iliandaliwa na Jokete hivyo hakuwa na sababu ya kuwaalika wasanii wengine “Nilishindwa kufanya hivyo kwa sababu kama unavyojua watu wangeweza kuja lakini wengine wangetaka kutafutana baada ya kusherehekea kitu ambacho sikutaka iwe” alidai Aliongezea kuwa kikubwa kilichofanya hadi sherehe yake ifanyike kwenye hoteli hiyo ni kwa saabu hana umasikini kama wasanii wengine wanaofanyia uswahili na huku wakijifagilia kwamba wanatumia fedha nyingi"Sikutaka ifanyike kwenye ukumbi za uswahilini kama za wengine, pia sikuwa na sababu za kuwaita wasanii kama Wema Sepetu kwa sababu si rafiki zangu" alidai

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging