Google PlusRSS FeedEmail

MR BLUE APATA MTOTO WA KIUME

Habari tulizozipata asubuhi hii ni kwamba mwanamuziki wa kizazi kipya anayekwenda kwa jina la Heri Sameer, maarufu zaidi kwa jina la Mr Blue amepata mtoto wa kiume baada ya mchumba wake aliyewahi kumtambulisha kwa jina la Wahida kujifungua jana jijini Dar es salaam.Jina la mtoto huyo ni Sameer ambalo ni jina la Baba mzazi wa Mr Blue.Blog hii kwa niaba ya wadau wote wa sanaa inampongeza Blue na kumsisitiza kuwa makini katika malezi ya kijana wake huyu.
One love!

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging