DIAMOND KAWEKA HADHARANI GARI YAKE MPYA Posted on by Unknown Msanii wa muziki wa kizazi kipya anayeaminika kuongoza kwa kupiga show nyingi kuliko msanii yeyote na kwa bei mbaya kuliko wote leo ameweka hadharani picha za gari lake jipya aina ya Landcruiser Prado.