Google PlusRSS FeedEmail

OMARION ANA MPENZI MPYA

Tovuti ya habari za mastaa wa Marekani imeripoti kuwa mwanamuziki wa R&B, Omari Ishmael ‘Omarion’ ameibuka na uhusiano mpya wa kimapenzi na mwanamuziki wa kike wa R&B wa kundi la Rich Girl, anayejulikana kwa jina la Brave, ikiwa ni baada ya kupita kipindi kirefu bila ya mwanamuziki huyo kuonekana hadharani na mpenzi.....

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging