Salma Jabu ‘Nisha’amegombana na msanii mwenzake anayedaiwa
kuwa ni muumini wa kilokole Ruth Suka ‘Mainda’kwa mujibu wa kipindi cha filamu
cha redio ya Times FM aliripoti kuwa wawili hao waligombana wakati wakirekodi
filamu ambayo haikutajwa, na kuweka wazi kutojua sababu ya wasanii hao
kugombana.“Chanzo sikijui ila haipendezi wasanii kugombana katika eneo
la kazi”Mbali na ugomvu huo Nisha amewahi kulipotiwa kutarajia
kuingiza mtaani filamu yake ya Macho Yangu, itakayosambazwa na Sas O
Entertainment akiigiza na Flora Mvungi, Hamis Korongo, Hashim Kambi, Kojacky,
na Wandimba
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.