Prezzo ame muambia Biggie kuwa anataka kuondoka ndani ya mjengo wa BBA.Katika kile kisichotegemewa, Prezzo amemwambia Biggie kuwa yeye si mfungwa na anaweza kuondoka muda wowote anaotaka na bila shaka huu ndo muda wenyewe.Kauli hiyo iliyowashangaza wengi imetokana na Biggie kupiga marufuku matumizi ya kilevi ndani ya nyumba hiyo.Katika kile kilichoonekana kama malumbano na Keitta, Prezzo aliomba mlango ufunguliwe ili aondoke.Mfalme huyo wa bling wa Kenya amechukizwa na ukosefu wa mitungi mjengoni na hapendi kuambiwa na mtu yeyote kuwa hiyo ni issue ndogo na ya kupotezea tu.
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.