Msanii wa filamu nchini maarufu Vincent Kigosi 'Ray' amesema kuwa kifo cha msanii marehemu Kanumba akikusababishwa na yeye kwani siku mbili kabla ya kifo chake wazazi wa marehemu waliwasuruhisha na kumaliza tofauti zao
Hayo yalisemwa Dar es Salaam na msanii wa filamu katika mahojiano ya kipindi cha mikasi, Ray alisema kwa kuwa wazazi wa marehemu walituweka pamoja na kutusuruhisha kwa kile kilichotokea kati yetu na kuweka mambo sawa mimi nilikuwa sian mengine
"Ilikuwa siku ya Alhamisi tulisuruhishwa nyumbani kwa marehemu ili tuendeleze upendo kama ulivyokuwa kama ulivyokuwa na baada ya siku mbili mwenzangu akafariki dunia ghafla " alisema Ray
Aliongezea kuwa urafiki wao ni wa muda mrefu toka wanaishi Tandika jiojini Dar es Salaam wakati huo kwa pamoja tulikuwa tunatafuta maisha
Hata hivyo msanii huyo alisema hafahamu chochote kuhusu urafiki wa msanii Lulu na marehemu Kanumba wala hajui chochote kilichotokea kati yao
Pia alisema mpaka hivi sasa hana mke wala hana mtoto wa kusingiziwa na hajakutana na mwanamke miezi saba iliyopita
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.